Hata hivyo Babu Asprin kashazeeka atupishe sisi vijana tule bata bana[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Charm decor wee... Asprin number kumi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16]!! Walidhani kujua kiingereza ndio kuwa na akili hawakujua kuwa una kitanda milembe ya USA... Massachusetts mental clinic. Maisha haya! [emoji23] [emoji23]
Wadada muwe makini vichaa na walevi ndio wanaongoza kwa kujua kiingereza! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Stuka watu kama akina mwifa ndio mzuka.
Nimeenda!
Hii keyboard inanipaisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nawapenda The Boss,mito,Mshana,Mr Miller(huyu nahisigi ni The Boss karudi kivingine),Humble African,Daby,Mwifwa,Don Clerucizio,Gudume, wanauanaume fulani hivi nauadmire,huwezi kukuta wanajisifia upuuzi au kuwa na mabif ya kijinga,wapo kwenye kilig chao tofauti.Sijawahi kuwaona na ningependa milele ibaki hivyo miandiko yako inasadiki kwangu.
Raynavero naomba nitagie hao watu
Mahaba niue shemela[emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamoo shemela
Ngabu kuna watu wanahisi umenila daaah![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dunia hiii!!
Ingekua hata PM kwangu ushakuja sasa daah![emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mdomo wangu umebaki wazi aki[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ariff... Ama kwa hakika nakuonea wivu kupendwa na mtoto mkali wallah
Hapana ila sio kwa NN tunaheshimiana sanaa!!kuliko watu wanavyodhani
Jeeezuzzz!Mwingine japo not reachable siku hizi The boss
Nakubaliana na list yako hakuna pugi hapo....!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] at last...!!!!Naunga mkono hoja
Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimekamata namba ya mwisho!!Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Hako kabebi kako kameniweka wa mwisho aisee... ngoja nikaogee magadi![emoji23] [emoji23] [emoji23] at last...!!!!
Badili keyboardHii keyboard inanipaisha sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sijakusahauHako kabebi kako kameniweka wa mwisho aisee... ngoja nikaogee magadi!
Abomination!!
Una nyota ya kurogwa wewe...Duuuhhh..
Basi siku zote huyo aspirin na hearly nilijuaga ni mabebezz..
Duh samahanini majamaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Mimi na wewe tuna unfinished business.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sijakusahau
HahahaUmenisahau men
.
.