Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hako kabebi kako kameniweka wa mwisho aisee... ngoja nikaogee magadi!
Abomination!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hako kabebi kako kameniweka wa mwisho aisee... ngoja nikaogee magadi!
Abomination!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimekamata namba ya mwisho!!
Dah.... sijui nimwachie Mungu au nisamehe?
Ila wewe!Kuna kamsemo kanasema "usione vyaelea, vimeundwa"
Sasa huu ndio uundaji sasa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah Mara ya kwanza legendary nyani ngabu kucoment post yangu nimefurahi
Mkuu shunie ni mke wangu wa ndoa ila tulikuwa hatujuani jf
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ili niumbuke.....
Siwezi kuibadili kabisa..
Tena alikufanyia editing baada ya Mimi kumkumbusha hukuwemo kabisaa!!!!soma mwanzo uone babu!Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimekamata namba ya mwisho!!
Dah.... sijui nimwachie Mungu au nisamehe?
Sema maduhuli mkuunimemwachia shunie hajakupa gawiwo??[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji102]
Watu humu ni wanaishi kwa kukremu zaidi hawajui maisha halisi[emoji3][emoji3][emoji3]Natoka gym hapa ndo naiona hii!
Wewe nimekukula lini jamani? Hahahaaa walimwengu bana!
Nasingiziwagwa mengi mno hadi mwishowe nasema ngoja niyakubali tu.
Wewe hata PM sijawahi kukutumia. Na huwa sina tabia za kutumia watu PM.
Sinaga kabisa tabia za kusumbua watu. Popote pale, sisumbuagi watu mimi.
Wapuuze tu hao maana wanapata tabu sana!
Sio kunijui zaidi ya majukwaani hakuna hata chat za mabebisho hata hapa basiAchana nao wazushi hao. Mi hata sijui unafananaje!
Keyboard bana, unajikuta mtu una sura kali, ngumu na ya kutisha lakini unasifiwa kwa sifa kedekede ukija kwenye tabia kwenye mazingira ya kawaida sasa ndio usiseme......[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Long live wengine sura za baba zetuKeyboard bana, unajikuta mtu una sura kali, ngumu na ya kutisha lakini unasifiwa kwa sifa kedekede ukija kwenye tabia kwenye mazingira ya kawaida sasa ndio usiseme......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Live long keyboard
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Long live wengine sura za baba zetu
Ila tunaitwa waremboo[emoji23]
Hahaaa!!acha tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ishia hapo kabla watu hawajaamka maana wamechelewa na wikiendi hii...
Kuna element ya kuwa bwabwaKiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Komredi...Demiss eti anataka mechi ya mieleka na mimi.
Hii ni baraka toka kwa mnyaz Mungu Komredi....
Au we wasemaje?
Astaghafurulilah... kumbe huyu Demiss anajitafutia laana ya kuokota?Babu ulisahaulika kabisa ila watu waliposema mbona hatumuoni Babu ndio akakupachika hapo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]