Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu nimekamata namba ya mwisho!!

Dah.... sijui nimwachie Mungu au nisamehe?
Tena alikufanyia editing baada ya Mimi kumkumbusha hukuwemo kabisaa!!!!soma mwanzo uone babu!
 
Watu humu ni wanaishi kwa kukremu zaidi hawajui maisha halisi[emoji3][emoji3][emoji3]

Wakiona jukwaani mwacheka basi tayari umeliwaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] hata kama umewala ndo kila mtu
Achana nao wazushi hao. Mi hata sijui unafananaje!
Sio kunijui zaidi ya majukwaani hakuna hata chat za mabebisho hata hapa basi
Mlaji katuliaa anasoma comments[emoji3] dah
 
Keyboard bana, unajikuta mtu una sura kali, ngumu na ya kutisha lakini unasifiwa kwa sifa kedekede ukija kwenye tabia kwenye mazingira ya kawaida sasa ndio usiseme......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Live long keyboard
Long live wengine sura za baba zetu
Ila tunaitwa waremboo[emoji23]
 
Kuna element ya kuwa bwabwa
 
Babu ulisahaulika kabisa ila watu waliposema mbona hatumuoni Babu ndio akakupachika hapo....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Astaghafurulilah... kumbe huyu Demiss anajitafutia laana ya kuokota?

Anamsahauje babu hendisam mhenga anayedondokewa na michuchu kibao ya MMU na Jukwaa la Wakubwa?
 
(In Dully sykes voice) Mie ni legendary wa kupendwa na watoto huwezi niweka hapo. Mie natakiwa niitwe nipewe tuzo yangu tu nasio kuwa paraded hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…