Maadili mema ni pamoja na kuniongezea vitukuu vya kutosha kutoka kwa michuchu tofauti tofautiSawa Babu wewe endelea kutulea sisi wajukuu zako kwenye maadili mema
Kumbe wewe ndo mtetezi wangu. Nakuahidi kura yangu utakapogombea udiwaniTena alikufanyia editing baada ya Mimi kumkumbusha hukuwemo kabisaa!!!!soma mwanzo uone babu!
Nimekufanya nini?Ila wewe!
Demiss unaendeleaje jino mama?Hahahahahah
Hahahaha,Haloo!! We acha tu aisee, watu tuna gundu si kidogo!! Hizo salamu za JF tu hatujui zinafanaane, seuze kupendwa!! Maji ya bahari yananihusu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Una nyota ya kurogwa wewe...
Dogo vipi aisee...Demiss unaendeleaje jino mama?
Mzima rafiki?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mi mzima kabisaMzima rafiki?
Weye upo kwenye ile list ya Hajar ile. [emoji12] [emoji12]
Kufa hakuna brekiKulalek
Kaka safi tu.Vip usafiri mzuri bado unao na nauli zipoje?Kwani dada Demiss ndo umemchumbia?Dogo vipi aisee...
Ah ah ah ah ahKufa hakuna breki
Hahahaaaa. Ile anayoijua Hajar pekee na hatokaa akaiandika hapa wala kuianzishia uzi rafiki.Mi mzima kabisa
Kumbe kuna list nyinginee[emoji3][emoji3]
ile list iko wapiMzima rafiki?
Weye upo kwenye ile list ya Hajar ile. [emoji12] [emoji12]
Kaka hii ya Hajar anaijua yeye na maswahiba zake kama wawili hivi. Na haiko kwenye Seva za jf hii. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ile list iko wapi