stardust JK
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,990
- 4,241
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaaa. Lol
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mnh! Huu sasa ni mtihani... nilidhani nikishaoga maji ya bahari kila kitu kitakuwa leve! Sa; swaga za mtu pori zitaendana kweli na totozi za JF ambazo nasikia wote eti ni Class A+++!!Hahahaha,
Mzee maji yanakuhusu.
Totoz wanasema wanataka swaga.
Bora hawajatajwa maana mimi nisingetajwa kama wao ambavyo hawajatajwa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahahaaaa. Lol.
Ila mdogo wangu Demiss weye mungu anakuona ujue maana kuna watu umewaaacha ambao lol. [emoji40] [emoji40] na wasijulikanage tu maana jf itakuwa ndogo hii.
Mnajijua maana nawajua ndugu yenu, rafiki yenu na Swahiba wenu.
Heshima kwenu huko mliko.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Wanasemaga wanasiasa kama sisi hatuko Romantic etii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwao ambao ni Class A++++Mnh! Huu sasa ni mtihani... nilidhani nikishaoga maji ya bahari kila kitu kitakuwa leve! Sa; swaga za mtu pori zitaendana kweli na totozi za JF ambazo nasikia wote eti ni Class A+++!!
Mwifwa umeanza lini uchokozi mdogo wangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hawajatajwa maana mimi nisingetajwa kama wao ambavyo hawajatajwa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha tupaishwe tu maana yaliyomo yakijulikana nitakosa hata like[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]Mwifwa umeanza lini uchokozi mdogo wangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wajijua mdogo wangu na ndio sababu hata Demiss wetu kakujua na akakuandika.
Hahahaaa. Sitaki mie loool.Acha tupaishwe tu maana yaliyomo yakijulikana nitakosa hata like[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
[emoji3]pugilisticMna gundu hamna mvuto
[emoji1] [emoji1]Mna gundu hamna mvuto
Hahahaaa. Sitaki mie loool.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii comment utanifanya nicheke kila ninatakapoiona Mwifwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LOL.
Ndio uzuri wa jf huu.
Kikubwa siri za serikali zisivuje tuwe wazalendo hadi dakika ya mwisho[emoji2] [emoji2] [emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wewe huwa naenjoy sana