Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Hahahaaaa. Lol.

Ila mdogo wangu Demiss weye mungu anakuona ujue maana kuna watu umewaaacha ambao lol. [emoji40] [emoji40] na wasijulikanage tu maana jf itakuwa ndogo hii.

Mnajijua maana nawajua ndugu yenu, rafiki yenu na Swahiba wenu.

Heshima kwenu huko mliko.

[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Bora hawajatajwa maana mimi nisingetajwa kama wao ambavyo hawajatajwa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mnh! Huu sasa ni mtihani... nilidhani nikishaoga maji ya bahari kila kitu kitakuwa leve! Sa; swaga za mtu pori zitaendana kweli na totozi za JF ambazo nasikia wote eti ni Class A+++!!
Wanasemaga wanasiasa kama sisi hatuko Romantic etii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwao ambao ni Class A++++
 
Last edited:
Acha tupaishwe tu maana yaliyomo yakijulikana nitakosa hata like[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]
Hahahaaa. Sitaki mie loool.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii comment utanifanya nicheke kila ninatakapoiona Mwifwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LOL.

Ndio uzuri wa jf huu.
 
Hahahaaa. Sitaki mie loool.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hii comment utanifanya nicheke kila ninatakapoiona Mwifwa. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] LOL.

Ndio uzuri wa jf huu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wewe huwa naenjoy sana
Kikubwa siri za serikali zisivuje tuwe wazalendo hadi dakika ya mwisho[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom