Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Astaghafurulilah... kumbe huyu Demiss anajitafutia laana ya kuokota?

Anamsahauje babu hendisam mhenga anayedondokewa na michuchu kibao ya MMU na Jukwaa la Wakubwa?
Wewe babu si ulikuwa unatufukuza kule jukwaa la wahenga hufai kabisa
 
Nafikir jina lang umerisahau nawakat mm nimwanaume nayekubalika kuliko young boys under twenty from Forbes naitwa kanyamulano
 
Dah!! Kumbe huku kuendekeza mada za kisiasa ndo kunafanya tuonekane hatuna swaga!!!

Lakini kwa mbaaaaaali; kama kuna kaukweli flani hivi manake ukitoa "hi" kwa totozi; akili yake yote anaipeleka kwa Humphrey Polepole... !
Teh teh teh,
Chige huwezi amini walishawahi kusema eti mimi ntakuwa libabu likada la CCM....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Last edited:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…