Vp jombaa, nimepatia nini?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp jombaa, nimepatia nini?![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jifunzeni tu muanze kuwa sukari.Vibaya hivyo Mzigua, Mungu anakuona ujue! Kama ni swaga, tajifunza tu....
Mule mule kabisa..[emoji23][emoji23] [emoji23] alicyclic hydrocarbons
[emoji23] [emoji23]Mule mule kabisa..[emoji23]
Sa' hapa ndo ushaanza ku-feel swaga zangu au?! Mkuu Malcom Lumumba, kwa mbaaaali, nahisi mi sio mwenzako tena na masiasa siasa yako!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo lazima marks zigawanyike kwenye kweli na si kweli mkuuVp jombaa, nimepatia nini?!
Mzima shem[emoji23] [emoji23] mzima wew?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sa' hapa ndo ushaanza ku-feel swaga zangu au?! Mkuu Malcom Lumumba, kwa mbaaaali, nahisi mi sio mwenzako tena na masiasa siasa yako!!!
Hahahahahaha,Sa' hapa ndo ushaanza ku-feel swaga zangu au?! Mkuu Malcom Lumumba, kwa mbaaaali, nahisi mi sio mwenzako tena na masiasa siasa yako!!!
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] aki tena nimechekaa doh@yna4 kwa sababu nina confidence zaidi nitakutumia ile picha ambayo nimevaa lile shati kubwa la njano kama la le mutuz, lililowafanya watoto asubuhi asubuhi wanikimbilie wakidhani ni school bus? Kumbe tukunyema najipitia.[emoji23]
Its all about confidence and self-bodymance.
Nashukuru sana, popote nionapo nyayo zako humu lazima huwa nakuachia alert kuthibitisha kuwa nimepita ulipopitaMwifwa nakupendaga tu weh kaka..nisipoonaga andiko lako katika Uzi naonaga ovyo
[emoji16] [emoji16] [emoji16] na ninaonaga nasemaga mkuu mwifwa kapita kimyakimyaNashukuru sana, popote nionapo nyayo zako humu lazima huwa nakuachia alert kuthibitisha kuwa nimepita ulipopita
Nimeipokea salamu yako kwa msisimko mkubwa.Babu aspirin nakusalimu
Mbona najihisi kama nataka kudedi kwa wivu?Mwifwa nakupendaga tu weh kaka..nisipoonaga andiko lako katika Uzi naonaga ovyo
Hongeraaaaa@yna4 kwa sababu nina confidence zaidi nitakutumia ile picha ambayo nimevaa lile shati kubwa la njano kama la le mutuz, lililowafanya watoto asubuhi asubuhi wanikimbilie wakidhani ni school bus? Kumbe tukunyema najipitia.[emoji23]
Its all about confidence and self-bodymance.