Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio uache tabia mbaya sasa...Hahahah babu jaman acha basi hizo
Asaaaaante Mrs mshana jrHahahahah poleeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji16] [emoji16] [emoji16] na ninaonaga nasemaga mkuu mwifwa kapita kimyakimya
We jamaa mbona nikisoma katikati ya mistari naona kama unamtongoza huyu mrembo kijanja?@yna4 kwa sababu nina confidence zaidi nitakutumia ile picha ambayo nimevaa lile shati kubwa la njano kama la le mutuz, lililowafanya watoto asubuhi asubuhi wanikimbilie wakidhani ni school bus? Kumbe tukunyema najipitia.[emoji23]
Its all about confidence and self-bodymance.
Babu usidedi kwa wivu bana...Mbona najihisi kama nataka kudedi kwa wivu?
Nimepatia au nimekosea...Hahahah jaman
Dah yaani mi natumia tecno? Hili tusi ni bora unitukane "mwanaume wa Dar mwenye kibamia kisichotahiriwa chenye kasi ya kumwaga kama jogoo chotara wa upareni "Naaacha maana nasikia unatumia tecno hupati tabu kuscreenshort
Mapenzi yananidedisha mchana kweupeBabu usidedi kwa wivu bana...
Ushaedit ?Jaman usinifanyie hivyo
Na kuniongeza [emoji23]Jaman usinifanyie hivyo
Kwa jinsi nilivyo wa kawaida kabisa hata ukikutana na mimi barabarani mtu huwezi kushtuka, haya yanayosemwa humu ni ya kweli?[emoji85]Waooooh hakuna asiyempenda Mwifwa
Basi tuyabadilishie muda yakudedishe usiku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mapenzi yananidedisha mchana kweupe
"U-handsome" ninao, isijekuwa nimesahaulika kimakosa!Jambo ipooo
Ndo siku Totoz ya JF imeji-mix kwa member mwaminifu wa jukwaa la siasa:Teh teh teh,
Chige huwezi amini walishawahi kusema eti mimi ntakuwa libabu likada la CCM....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]