Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Dah! Sijui ndo mambo ya nyota njema haya... hoyaa Mwifwa, nipe tution basi niachane na ulugauluga na nianze kuwa sukari ya warembo!!
Kipindi nipo darasa la nne shule ya msingi, aliletwa Mwl wa kike kutoka Arusha mjini kuja kufundisha shuleni kwetu.

Kutokana na sisi kuzoea maisha ya kijijini na kutokuwa na tabia ya kujichanganya wavulana kwa wasichana hasa tukiwa darasani.

Yeye alianzisha mtindo wa kutuchanganya kukaa pamoja tukiwa darasani wale wenye juhudi na akili kwenye masomo na wale wenye juhudi za kawaida.

Lakini sisi(hasa wavulana) tulikuwa tunachukia sana kuchanganywa/kukaa dawati moja na wasichana hadi baadhi ya wavulana walikuwa wanachapwa sana kwa kukataa kukaa pamoja na wasichana.

Ila kadri siku zilivyokuwa zinaenda, mambo yakaanza kuwa murua, tukazoeana ikawa ni kawaida na rahisi kusaidiana kwenye masomo baina yetu.

Kwa kitendo hicho cha Mwl wetu bado nina maswali kadhaa kichwani sijaweza kupata majibu yake hadi leo hii....
 
Mwifwa hulali wewe! Maswali yenyewe ni yepi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…