Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Punguza wivu wa kike... ebo!Unataka kuchepuka na babu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza wivu wa kike... ebo!Unataka kuchepuka na babu
Kipindi nipo darasa la nne shule ya msingi, aliletwa Mwl wa kike kutoka Arusha mjini kuja kufundisha shuleni kwetu.Dah! Sijui ndo mambo ya nyota njema haya... hoyaa Mwifwa, nipe tution basi niachane na ulugauluga na nianze kuwa sukari ya warembo!!
Uwiiiii...hapanaUnataka kuchepuka na babu
Kama suala ni meno, ngoja nikaazime ya mda!Mbn huna menoo mkuu uhandsome wako uko wapi
Kama anapenda pesa basi hapa ndo kafika nyumbani kwake...Mtoto anapenda pesa yule, sa'na hizo 37,500/= zako za kila mwezi na watoto wazuri wapi na wapi!!
Dogo fundi sana huyu, yuko na mwenzake moja hivi anaitwa DabyMnh! Ndugu yangu Malcom Lumumba, kama swaga zenyewe ndo kama hizo hapo juu, basi mwaka huu lazima tuumwe ugonjwa wa kwikwi!!!
Zile za mkupuo zote, totoz za mjini zimeshapiga; kabakiza 37,500/= za kila mwezi za kuchukulia dirishani manake hata kutumia ATM hawezi!!Hahahaha usiniambie ahahhaha
All of the aboveHahahah kwahiyo unanikana hadharani?
Mdogo mdogo kiroho safi kabisa.Naona unafurahia cheo[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mnh! Ndugu yangu Malcom Lumumba, kama swaga zenyewe ndo kama hizo hapo juu, basi mwaka huu lazima tuumwe ugonjwa wa kwikwi!!!
Nisije kukaza, ukashidwa kusukuma damuKaza moyooo
Mwifwa hulali wewe! Maswali yenyewe ni yepi?Kipindi nipo darasa la nne shule ya msingi, aliletwa Mwl wa kike kutoka Arusha mjini kuja kufundisha shuleni kwetu.
Kutokana na sisi kuzoea maisha ya kijijini na kutokuwa na tabia ya kujichanganya wavulana kwa wasichana hasa tukiwa darasani.
Yeye alianzisha mtindo wa kutuchanganya kukaa pamoja tukiwa darasani wale wenye juhudi na akili kwenye masomo na wale wenye juhudi za kawaida.
Lakini sisi(hasa wavulana) tulikuwa tunachukia sana kuchanganywa/kukaa dawati moja na wasichana hadi baadhi ya wavulana walikuwa wanachapwa sana kwa kukataa kukaa pamoja na wasichana.
Ila kadri siku zilivyokuwa zinaenda, mambo yakaanza kuwa murua, tukazoeana ikawa ni kawaida na rahisi kusaidiana kwenye masomo baina yetu.
Kwa kitendo hicho cha Mwl wetu bado nina maswali kadhaa kichwani sijaweza kupata majibu yake hadi leo hii....
Mdogo mdogo kiroho safi kabisa.
We bazazi unafanya nini huku? Usije ukatuzibia rizki zetu tafazali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora sipo katika list ya wazinzi
Hahaha ,asee babu naona umeweka promo hapo,kumbe ndio silaha zenyewe hz?Kama anapenda pesa basi hapa ndo kafika nyumbani kwake...
So umeamua usinitaje ?Jambo ipooo