Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Dogo fundi sana huyu, yuko na mwenzake moja hivi anaitwa Daby
Kama ndo hivyo, basi Daby nishamshitukia! Sometimes huwa anaanzisha free style battle kule entertainment forum, kumbe inawezekana ni janja yake ya kupata mistari ya kuleta kwa warembo!!! Nishaamua, hivi sasa nikiingia kwenye battle, ni mwendo wa political conscious lyrics, mwanzo mwisho!
 
Bila shaka unaniambia na mimi nianze kukaa karibu na warembo....
 
Dah. So sie ambao atupo kwenye io rist ndo hatupendwi?

Na nikuulize dada demiss hao ulowataja ni ww ndo unawapenda au wadada wote wa jf wanawapenda? Umejuaje kama toroz zngne nazo zna taste kama yako kwa oa ulowataja plus sifa ulizoweka
.
.
Ramli chonganiashi izi,mrs mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…