Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Dah! Sometimes sema na wewe unacheka vizuri hadi mtu unahisi damu yako mwenyewe ikiwa ya joto! Sema tatizo Mshana Jr bhana, dah... mtu unaweza kujikuta miezi 3 mfululizo unaota umelala na maiti ya Babu Kangi!!!
Loooh chige una mambo weyeee
 
Baada ya hapa lete part b yake yani wanawake wanaochukiwa zaidi mm nitaanza na ww [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Wanaume kama hawa wengi unakuta ni wali maharage hamna kitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…