Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimsifia hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umemsahau my grandpa Aspirin a true definition of gentleman lies there!!!
Umeeleweka [emoji4]Najua mara moja moja siyo mbayaaa jaman pliziiii
Umeniita au naota?
Baada ya hapa lete part b yake yani wanawake wanaochukiwa zaidi mm nitaanza na ww [emoji126][emoji126][emoji126]Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
Wanaume kama hawa wengi unakuta ni wali maharage hamna kitu hapaFcuk it. I give zero fcuks.
Mimi ni mwanaume wa JF niliyetafuna wadada wengi zaidi wa JF kuliko mwanaume mwingine yoyote yule.
Now what? Mwenye ubavu aje tupigane.
And btw, kama mtu una demu wako humu si ajabu naye nishamtafuna.
Hahahahaaaaa. Atayemind middle finger up yo azz.
Get the strap.
Astaghafirulillah... hata wewe shemeji???Ukimsifia hivi🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zitakazoumia ni pm
Chini anamalizia refer
Comment.ya Ray
kuna mtu jana alinishikia ID!Astaghafirulillah... hata wewe shemeji???
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Umeniita au naota?