Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

We na chamdeko wako hamuenei kwenye kiganja changu
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji83] [emoji84] [emoji84] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
 
Hahahah hana nguvu akidumbukiza ndani huwez kuhisi kama kuna mkuyenge ameshazeeka kimelegeaaa
Kakangu Asprin, naongea kwa uchungu na hivyo nisingependa tuwe tunaongea behind your back; in short, hii post niliyom-quote Demiss ni kwamba alikuwa anakuzungumzia wewe!

Ndugu yangu Mshana Jr; amini usiamini; yaani nimeumia ile mbaya!! Hebu njoo umsome my sweet wako huku!! How did huyu Demiss alifahamu hizi deep inside info za Asprin ambazo it's obvious zipo deep inside the origin!!

Sa' kama hapo Asprin ndo ana-confirm kwamba hizo sifa kapatia kwa 100%, c ndo inakuwa asifiae mvua!!

Shenzi taipu! Hakuna namna hivi sasa... Mkuu Malcom Lumumba, nimeanzisha Chama Cha Wapiga Fitina JF!!

Members ni wale wote tusiopendwa na totoz za JF na lengo kuu la chama ni kufitinisha wapendanao!

Haiwezekani bhana; kama bundle, wote tunatumia bundle hapa; ebo!
 
Asante sana kwa taarifa chige... Huyu kikongwe anachokitafuta atakipata[emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji379] [emoji378] [emoji375]
 
Asante sana kwa taarifa chige... Huyu kikongwe anachokitafuta atakipata[emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji84] [emoji83] [emoji35] [emoji379] [emoji378] [emoji375]
Nilishakipata. Ngoja nitafute mwingine. Hata kama nilichovya lakini angalau nilidokoa chakula chako
 
Usijali ndugu yangu. Jembe langu limechoka baada ya kulima sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…