Kakangu
Asprin, naongea kwa uchungu na hivyo nisingependa tuwe tunaongea behind your back; in short, hii post niliyom-quote Demiss ni kwamba alikuwa anakuzungumzia wewe!
Ndugu yangu
Mshana Jr; amini usiamini; yaani nimeumia ile mbaya!! Hebu njoo umsome my sweet wako huku!! How did huyu Demiss alifahamu hizi deep inside info za Asprin ambazo it's obvious zipo deep inside the origin!!
Sa' kama hapo Asprin ndo ana-confirm kwamba hizo sifa kapatia kwa 100%, c ndo inakuwa asifiae mvua!!
Shenzi taipu! Hakuna namna hivi sasa... Mkuu
Malcom Lumumba, nimeanzisha Chama Cha Wapiga Fitina JF!!
Members ni wale wote tusiopendwa na totoz za JF na lengo kuu la chama ni kufitinisha wapendanao!
Haiwezekani bhana; kama bundle, wote tunatumia bundle hapa; ebo!