Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Mm nimekuja bhn hujanikula hata kidogo tupigane mieleka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahahah tatizo mnachukua screenshort mnatuma kwa mme wangu siwatak tenaaaa

Mme wako mwenyewe ni mganga wa kienyeji anaona kwenye Radar zake bila hata kutumiwa screenshort. Hata wewe ukiwa na genyee anajua hata kama yupo Paris
 
[emoji16][emoji16][emoji16]yaani acha tu shogareee...huyu mods sijui kizazi kilichopita alikua mkwe mwenza au Mme mwenza maana si kwa ban hizi!

Natania mods[emoji16][emoji16]
Hahahahhahahaha pole bhn potezea tu kula tu udaku wa Demiss
 
Demiss pls usilete Uzi wa pugi tutapigwa ban mamy
Ban takatifuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]wozaaa!!
 
Mm nimekuja bhn hujanikula hata kidogo tupigane mieleka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Ohooo unataka kuliwa wewe!

Sasa tukipigana mieleka nikiku pin down si nakukula kiurahisi tu.

Mbuzi unajileta kwa chatu?

Watch out....utakulwa na wewe.

Teh teh....I’m out.

Have fun y’all.
 
Mmasai kaingia disco, sime nje nje! [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…