Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Uko sahihi kabisa mkuuUmesema Yale Moyo wako umependa uyaseme
Hongera kwa kutambua thamani za hawa wachache ulio wataja
Inawezekana akatoke mwanamke mwenzio akasema hao hawamvutii na akataja list yake pia nae itakuwa mawazo yake
Ila tu tambue kuwa jf ni muunganiko wa watu na viatu