Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

Wanaume wa JF wanaopendwa zaidi na warembo

hahaa Nyani Ngabu " kesha toa angalizo " kuwa karibia "nusu "na robo ya " madada wa humu " amewala '" so nipo kitako namsubiri" shemeji yako'' anieleze kwa herufi kubwa" asinifiche " aisee"" kama vipi " kesho nipitie hospital" nikaanze sindano" za PEP "" sidhani kama nitkuwa nimechelewa sana aisee"" Nyani Ngabu ndio nini kutaka kutuuwa kwa pressure mkuu ""?

Kwani nina ukimwi mimi?

Hahahaaaa I am Ngabu the lothario baby.

Anywho, huu ni utani tu. Don’t take it too seriously.
 
Back
Top Bottom