Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa, naelekea ktk ujenzi was taiga.Salm
Hivihivi huwaga linawadaka kweliiiiKama ndo hivyo, basi Daby nishamshitukia! Sometimes huwa anaanzisha free style battle kule entertainment forum, kumbe inawezekana ni janja yake ya kupata mistari ya kuleta kwa warembo!!! Nishaamua, hivi sasa nikiingia kwenye battle, ni mwendo wa political conscious lyrics, mwanzo mwisho!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo vigezo vinazingatiwa ettiiNa sisi tumewashtukia. Wanaweka avatar kali halafu hawafikii hata robo ya avatar walizoweka
Nakukubali sana kaka chigeSa' hapa ndo ushaanza ku-feel swaga zangu au?! Mkuu Malcom Lumumba, kwa mbaaaali, nahisi mi sio mwenzako tena na masiasa siasa yako!!!
Kaka kaka, au kaka binamu?!Nakukubali sana kaka chige
Hahaa!! Kumbe hata ya kwenye chit-chat anayo-conclude in a serious way!!Hivihivi huwaga linawadaka kweliiii
Usiende kinyume na uzi huu bibie hiyo tabia mbaya itakuwa inasababishwa na mazingira niliyopo kwasasaUna tabia mbaya sanaaa
Eeh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwa hyo vigezo vinazingatiwa ettii
Kaka binamu!Kaka kaka, au kaka binamu?!
HANCE MTANASHATI SIPO?Kiukweli hii list ifuatayo inavutiwa zaidi na Totoz za humu:
Mshana Jr
Huyu member ni namba moja kwa kila kitu ndo maana alimuopoa mtoto mbichi mzuri mzuri wa makao makuu mwenyewe anapendaga kumuita charm deko.
Baba kijacho unapendwa sana na Warembo wa Jf hunaga makuu kabisa.
Mwifwa
Niseme nini jamani ?Hivi kuna mrembo yeyote Jf hampendi huyu kaka loooh
Kwanza ni mpole
Mkimya
Hana makuu
Ana akili napenda anavyopangua hoja
Mwifwa kaka angu wa faida nakupenda sana sjawahi kuona ukigombana na mtu yeyote hapa aiseee upo vizuri sana.
BAK
Hii id brand kubwa sana yani kifupi unapendeka kwa warembo wa Jf hata sjui uliwazaga nn kujiita bak maana jina tu linavutia.
Humble African
Swagz zako ni balaa unajiamini sana yani hata mtu akikuomba picha yako unatuma tu bila kinyongo unajiamini sana kwa sababu haufake life hongera sanaaa watu kama wewe hapa jf ni wachache sana.
hearly
Huyu member mimi huwa nahisi ni ke maaana tabia yake ya kujichanganya kwenye nyuzi za warembo imefanya kuwa kivutio zaidi kwa totoz yupo vizur sana hata kwenye udaku utamkuta anachochea tu.
Hearly mtani wangu tunagombana tunapatana uko vizuri.
Hazard fc
Mme wa pacha wangu Jolie jolie wewe najua kwa chai hujambo na kujichanganya kwa warembo hauna tofauti na Hearly unapenda kusimama na Warembo wa jf hupendi kabisa tuonewe hongera zako.
Mbabe hunter
Huyu member jaman kwa ushauri mzuri yupo vizur nisipokusifia nitakuwa nakosea sana yawezekana ikawa ni mm peke yangu tu unanivutia kwa heshima uliyonayo na ushauri unaoutoaga ila kuna mrembo mwingine alishasema kuhusu member wewe hongera kwa heshima mkuu .
Asprin
Mchepuko wa Totoz jf Hahahah
Babu usiyezeeka
Ng'ombe hazeeki maini
Demiss Mrs Jr Junior
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah! Sometimes sema na wewe unacheka vizuri hadi mtu unahisi damu yako mwenyewe ikiwa ya joto! Sema tatizo Mshana Jr bhana, dah... mtu unaweza kujikuta miezi 3 mfululizo unaota umelala na maiti ya Babu Kangi!!!
Chige ni kaka yako tangu lini ???Nakukubali sana kaka chige
Mzaha mzaha njemba zinabebe totozHahaa!! Kumbe hata ya kwenye chit-chat anayo-conclude in a serious way!!