Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Mtu mwenyewe anaringaaaaa kama nini!
Mara Erotica, Mara sijui kina nani tena...
Ngoja mi nijiendee dinner na The Finest
I feel like he is more interested in me. 🙂

Yeahhh. . .mwenyewe niliona hivyo nikanawa mikono. Fynest is a true gentleman. . he won't let you down.
 
Last edited by a moderator:
Mtu mwenyewe anaringaaaaa kama nini!
Mara Erotica, Mara sijui kina nani tena...
Ngoja mi nijiendee dinner na The Finest
I feel like he is more interested in me. 🙂
You can say that again and again I hope I want face any obstacles
 
Last edited by a moderator:
Kule kwa funza dume hakukufai utapofuia masikio,
mie nakufagilia sana Mr Rocky.......your my star loh.... sema nilikuwa nakimbizana na chaji,
bila kumsahau MziziMkavu, tiba mbadala anayotoa ni ya uhakika loh.....

QUOTE=BADILI TABIA;3837143]The Finest, huyu barafu wa moyo wangu.....
Asprin, tulizo la moyo wangu
Bishanga, kidumu chang kitarajiwa
TANMO, jina lake lipo sexy
klorokwini, ananiachaga hoi....
Mtambuzi..... Sisemi kitu kuna binti zake humu....
gamba chovu
Mphamvu
The Boss......
EMT
Memo
Invisible bby boy...
Buchanan
Erickb52
Mbu
Saint Ivuga
Smiling Saint

nitarudi simu imeishiwa chaji

Badili Tabia haki ya nani naenda kujinyonga kwa big g
List yote mi simo
Ahhh ngoja nihamie kabisa jukwaa la Funza dume maana huku sina changu[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Yeahhh. . .mwenyewe niliona hivyo nikanawa mikono. Fynest is a true gentleman. . he won't let you down.

Khaa! Haya mshiki Lizzy ukifanikisha kwa huyo mkware The Finest usisahau kunipigia debe na mimi kakako mpendwa tuliyetoka mbali. Mpaka sasa mi ndo naongoza kwa kupigwa vibuti. Hii si nzuri kwenye ukoo wetu. Tutazaa majambazi tusiposaidiana kwenye hii ishu nyeti ya kibaiolojia.
 
Last edited by a moderator:
kule kwa funza dume hakukufai utapofuia masikio,
mie nakufagilia sana mr rocky.......your my star loh.... Sema nilikuwa nakimbizana na chaji,
bila kumsahau mzizimkavu, tiba mbadala anayotoa ni ya uhakika loh.....

badili tabia haki ya nani naenda kujinyonga kwa big g
list yote mi simo
ahhh ngoja nihamie kabisa jukwaa la funza dume maana huku sina changu
[/quote]@badili tabia Asante ubarikiwe mbinguni na duniani kwa jina la Bwana Mungu.:smile-big:
 
Bishanga, kidumu changu cha ukweli.....hakiishi hamu wala utamu.......loh....

Khaa!

Am outta here!

Ngoja niangalie upepo upande wa pili. Hapa kimeshaumana. Huyu akipelekwa gulioni katerero kununuliwa matoke ODM atakumbukwa wapi na vibamia vyake vya bagamoyo vilivyokosa samadi ya kuku?

Ukaguzi Cancelled!
 
Last edited by a moderator:
Khaa! Haya mshiki Lizzy ukifanikisha kwa huyo mkware The Finest usisahau kunipigia debe na mimi kakako mpendwa tuliyetoka mbali. Mpaka sasa mi ndo naongoza kwa kupigwa vibuti. Hii si nzuri kwenye ukoo wetu. Tutazaa majambazi tusiposaidiana kwenye hii ishu nyeti ya kibaiolojia.
Hahahaha. . Asprin unataka niwe 'mwanamke kuwadi' aliyekubuhu ehhh? Sijui The Finest atasemaje!!!
 
Last edited by a moderator:
Asprin my honey ......kule nilikuwa natania tu loh

Back
Top Bottom