Mtu mwenyewe anaringaaaaa kama nini!
Mara Erotica, Mara sijui kina nani tena...
Ngoja mi nijiendee dinner na The Finest
I feel like he is more interested in me. 🙂
You can say that again and again I hope I want face any obstaclesMtu mwenyewe anaringaaaaa kama nini!
Mara Erotica, Mara sijui kina nani tena...
Ngoja mi nijiendee dinner na The Finest
I feel like he is more interested in me. 🙂
nakuja fasta unikague, bahati hii, haiji mara mbili loh!
QUOTE=BADILI TABIA;3837143]The Finest, huyu barafu wa moyo wangu.....
Asprin, tulizo la moyo wangu
Bishanga, kidumu chang kitarajiwa
TANMO, jina lake lipo sexy
klorokwini, ananiachaga hoi....
Mtambuzi..... Sisemi kitu kuna binti zake humu....
gamba chovu
Mphamvu
The Boss......
EMT
Memo
Invisible bby boy...
Buchanan
Erickb52
Mbu
Saint Ivuga
Smiling Saint
nitarudi simu imeishiwa chaji
Most def won't let her downYeahhh. . .mwenyewe niliona hivyo nikanawa mikono. Fynest is a true gentleman. . he won't let you down.
Lizzy asante vipi rafiki yako afrodenzi ? mbona simuoni siku hizi online? yupo busy?MziziMkavu
Asanteehhh. . . na mimi ningekuwa nimechagua kuna uwezekano ungekuwepo kwenye list.
Bishanga kidum???? Kudadadadadeki ccm oye,nkuchane BT nsikuchane? Arrrrrooooooo kaa rimguu pande nikuazibu wewe mama robi.
Khaaaa wee mzee utamaliza wajukuu aiseeGood girl,
Hakikisha unakuja without.... Sawa mtoto mzuri BADILI TABIA uliyebadilika eh? Mi niko with tayari kwa ukaguzi. Wahi kabla huJawahiwa.
Good girl,
Hakikisha unakuja without.... Sawa mtoto mzuri BADILI TABIA uliyebadilika eh? Mi niko with tayari kwa ukaguzi. Wahi kabla huJawahiwa.
Yeahhh. . .mwenyewe niliona hivyo nikanawa mikono. Fynest is a true gentleman. . he won't let you down.
[/quote]@badili tabia Asante ubarikiwe mbinguni na duniani kwa jina la Bwana Mungu.:smile-big:kule kwa funza dume hakukufai utapofuia masikio,
mie nakufagilia sana mr rocky.......your my star loh.... Sema nilikuwa nakimbizana na chaji,
bila kumsahau mzizimkavu, tiba mbadala anayotoa ni ya uhakika loh.....
badili tabia haki ya nani naenda kujinyonga kwa big g
list yote mi simo
ahhh ngoja nihamie kabisa jukwaa la funza dume maana huku sina changu
Bishanga, kidumu changu cha ukweli.....hakiishi hamu wala utamu.......loh....
Hahahaha. . Asprin unataka niwe 'mwanamke kuwadi' aliyekubuhu ehhh? Sijui The Finest atasemaje!!!Khaa! Haya mshiki Lizzy ukifanikisha kwa huyo mkware The Finest usisahau kunipigia debe na mimi kakako mpendwa tuliyetoka mbali. Mpaka sasa mi ndo naongoza kwa kupigwa vibuti. Hii si nzuri kwenye ukoo wetu. Tutazaa majambazi tusiposaidiana kwenye hii ishu nyeti ya kibaiolojia.
Hakuna mtu ninaye M-miss humu J.f. kama @afrodenzi wacha nakosa raha moyoni mwangu nifanyeje lakini badala yake wewe upo lizzy hapaja haribika kitu.MziziMkavu. . .yeahhhh. . .akipata mwanya tu ntamwambia aingie humu atume tu hata salamu.
afrodenzi. . .umemisiwa. . .njoooooo!!
Khaa!
Am outta here!
Ngoja niangalie upepo upande wa pili. Hapa kimeshaumana. Huyu akipelekwa gulioni katerero kununuliwa matoke ODM atakumbukwa wapi na vibamia vyake vya bagamoyo vilivyokosa samadi ya kuku?
Ukaguzi Cancelled!