Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?

Ndo sasa uniambie. . .do you like girls aswell!?!!!

Hehehe sitaki kusutwa mie. ,ngoja aje mwenyewe. Alafu kuna mwingine hapo nae inabidi umfute fasta. . .ukifantasaizi kuhusu yeye tena unapata mimba!!

Khaa we mtoto umechizika! ukimfantasize mtu tu kitu!
 

Senksi BADILI TABIA , mi mwenyewe kila nikiona post zako namsahau waifu. Juzi tu nilikuota unanilisha samaki wa kukaanga
 
Last edited by a moderator:
Bora usiseme kitu maana wataniletea nouma................watoto hawa utadhani wamezaliwa siku ya GULIO......!@
 
Sasa we unamdanganyaje mzee mwenzio?!Unadhani hajui mapigo yenu ehhh?


Yeahh we all know that Cookie
Unajisikiaje kuhusu kuwa kwenye list ya Erotica.

Unatumia utaalamu/vigezo gani kujua jinsia ya mtu hapa JF? Lizzy

Dah mkuu kumbe tuna wataalamu wa namna hii hapa JF Invisible
 
Last edited by a moderator:
Riwa
trachomatist. . . Sijui spelling nimepatia?
Halafu kuna kidume kimoja nakikubali,anajiita jina ambalo ni ugonjwa unaoenezwa sana na konokono,spelling sizipati vyema MENings?
 
Last edited by a moderator:
Hao jamaa zako kwenye avatar hawachoki kupiga makofi?

hahaha mkuu unataka kuwapiga Ban nini wapumzike? lol
Hao wanafurahia uchumba wangu na Lizzy , andaa mchango wa harusi mkuu, soon tunakuletea kadi
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Mwali tupange mikakati aisee. . Erotica hawezi vamia vamia tu ghafla wakati wengine tunaumia ndani ndani!!

Hahahaha. . . Boflo aisee mi sijui. Ila hao wengine. . .AGREED.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…