Wanaume wa JF: Who is hot, who is not?


BADILI TABIA
BT aiseee nimependaje list yako....only because hujamtaja fulani. Ila kama Erotica na wewe umemtaja anaeusumbua moyo wa Mwali.
 
Last edited by a moderator:
Mwali tupange mikakati aisee. . Erotica hawezi vamia vamia tu ghafla wakati wengine tunaumia ndani ndani!!

Hahahaha. . . Boflo aisee mi sijui. Ila hao wengine. . .AGREED.
Mi namuona kama Ricky Martin or Stephen Gately type of hot, if you know what I mean. lol

Hapa kijijini wananiita lonado di caprio. Ukiniona tu basi unaomba talaka kwa mumeo
Haya baba di caprio. Mi hadi nikuone ndio niamini
Halafu nina mashaka wewe ndie kibabu cha Husny
 
Lizzy, nipe pole.
Nafunga virago kurudi kwetu, maana wamekuwa elfu sasa.
 
Last edited by a moderator:
Halaf mbona umetaja who is not tu, ile who is hot haujamtaja? au tujaze wenyewe?

klorokwini
Kloro namwogopa mume wangu. . .naweza lazwa sebuleni bureee!
Mh... Hii thread hii....

:shock:

Invisible
Ushatajwa mara kadhaa, hujafurahi?!


Khaa we mtoto umechizika! ukimfantasize mtu tu kitu!

Musimo Jr
Jr huyo ni off limit, yani mtu akifanya mchezo namwendea kwa babu. . .atapata mimba hata kama ni Boflo!!lolz
 
Last edited by a moderator:
Wacha nifunguke... aaagh, naona soo hahahahahaha... Lizzy upo? Shikamoo
 
Last edited by a moderator:
Hivi, hadi hii poga ya nne Kaizer is missing in the list..
Mwali, ankal wako unamrate vipi? LOL
Uncle, hapa tunataja watu kwa kufatana na imagination yetu
Mi siwezi kukutaja because I don't THINK you are hot. I KNOW you are... lol
(sijui, hivi is it appropriate kusema my uncle is hot?). Karibu chai Uncle...
 
Haya baba di caprio. Mi hadi nikuone ndio niamini
Halafu nina mashaka wewe ndie kibabu cha Husny


Husny ni kipenzi changu bana, msimtaje taje mnaniumiza. Na nina mpango wa kuhama nae nchi. Washindwe na walegee walosababisha kipenzi changu kuachana na JF
 
Unatumia utaalamu/vigezo gani kujua jinsia ya mtu hapa JF? Lizzy

Dah mkuu kumbe tuna wataalamu wa namna hii hapa JF Invisible

Cookie
Kuna mkaka mmoja hua namuona kama anavutiwa na wewe hivi, hiyo inanishawishi kuwa waweza kuwa mdada, au jamaa kaingia choo cha kike?


Walaaaa, thread poa tu kwa kuondolea stress ha ha ha, lkn kama avatar zilivyo ndivyo mlivyo basi RussianRoulette & Lizzy mko hot 😉
Hahahahaha. . . haki leo nalala nikimwota Invisible! Hubby, klorokwini, Bishanga, Musimo Jr mtanisamehe. . .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…