Wanaume wa kaskazini waangaliwe upya wananyanyaswa sana na wanawake zao hakika

Tutoe wameru labda wachaga.
 
Sasa huyo ukilala nae mwili unanuka kama pipa la pombe[emoji16].Hata kula mate lazima uwe na moyo maana mchanganyo wa vilevi .Nasikia wanaume wa huko nao wameharibika na pombe kali hata kuwapa huduma za usiku wake zao imekua shida.
mimi ni mzaliwa wa huku na ninaishi huku, ila sisi wachaga kwa pombe ni pipa na mfuniko.
hayo yanayosemwa kuhusu wanaume wa huku wameharibikiwa na pombe kali na kushindwa kutimiza majukumu ya unyubma sina hakika nayo.

ila huku kukuta mtu anakunywa pombe asubuhi ni jambo la kawaida
 
haha dada zetu wa kimeru wanawezana na sisi wanaume wa kimeru au wakurya basi
 
Ulinusurika kwa sababu ya upuuzi wa mwanamke?

Leo pia unaishi na mwanamke akikuletea upuuzi unamtwanga mangumi πŸ˜‚πŸ˜‚

Sema mahakama za Tanzania mahakimu wana njaa hadi huuza kesi Ila huyo mwanamke utakayemtwanga mangumi akikupania kisheria utamlimpa fidia na jela utaenda.

Acha mashindano na hao viumbe wapotezee tu na si kuwatwanga mangumi
Aaah weeeh over my dead body.
Toka ninusurike suicide attempt 2021 kisa upuuzi wa mwanamke.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™πŸ™πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ Nimekuelewa mkuu.
Ila sio mashindano bali twalinda heshima,au unataka tulie kama wanaume wa Rombo!?
 
Wanawake wa kaskazini mie big NO nitaua mtu bure. Yani aniletee kibezi nimuangalie tu??? Sio mimi aisee wakae mbali nami uzuri wake nikishasikiaga ni wa kaskazini nakula nasepa nakaa kimkakati kabisa ili nisilowee. Hawana maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…