Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,917
Reaction score
11,801
Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi.

Naombeni mfute ile dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake, hayo yalikuwa zamani.
 
Kuna kupenda kwa PESA, kupenda kwa KIPONDO, kupenda KITOTO, kupenda KITAMTHILIA n.k. . .nyie mnapendaje?
 
wakurya deep love tunaijua..! mambo ya kupiga wanawake nowadays hayapo!

endapo mdada atakuwa mtulivu kama mleta uzi alivyosema, hakika utam wa penzi la kikurya utaupata...

mkurya si mtu wa porojo, si mtu wa kubishana hovyo na sweetie wake..

hizi ni criteria muhimu zinazotuweka kwenye kundi maalum la supply of sweet love!! unendless love..
 
Excel mbona kama danganya toto? Wale wote wanatembezewa kichapo daily hawajatulia?Mmezoea kupiga bana.

PS. . .ile offer haipo tena..naogopa makovu ya ukubwani. .heheheh
 
Last edited by a moderator:
Excel mbona kama danganya toto? Wale wote wanatembezewa kichapo daily hawajatulia?Mmezoea kupiga bana.

PS. . .ile offer haipo tena..naogopa makovu ya ukubwani. .heheheh

lizzy come on! dont say those words pliz! do you know how much i prepared myself and my complete lovely heart fo it?

aisee utaniua... wakurya wa leo sio kama wale wa '47! trust me, just a single drop of water in my bucket, you will come up with four drums of wine... Lizzy take that...
 
Last edited by a moderator:
Excel mbona kama danganya toto? Wale wote wanatembezewa kichapo daily hawajatulia?Mmezoea kupiga bana.

PS. . .ile offer haipo tena..naogopa makovu ya ukubwani. .heheheh

Achana na hizo hear say siku hizi hamna hayo wakurya kwenye ndoa ni wastarabu sana.
 
Last edited by a moderator:
lizzy come on! dont say those words pliz! do you know how much i prepared myself and my complete lovely heart fo it?

aisee utaniua... wakurya wa leo sio kama wale wa '47! trust me, just a single drop of water in my bucket, you will come up with four drums of wine... Lizzy take that...

Owwwkey, I'll take your word for it.Nafurahi kusikia mmebadilika maana yale mahaba ya kuumizana sio mazuri kabisa. Kubembelezana ndio mpango mzima siku hizi.

Achana na hizo hear say siku hizi hamna hayo wakurya kwenye ndoa ni wastarabu sana.

Molembe sio swala la kusikia tu, hata kuona. Ila nachagua kuamini kwamba mnaenda na wakati. Enzi za kupiga virungu na mapanga zimepitwa na wakati.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kupenda kwa PESA, kupenda kwa KIPONDO, kupenda KITOTO, kupenda KITAMTHILIA n.k. . .nyie mnapendaje?

Unaongea upuuzi...ok hata ukumpenda mkurya kwa staili yeyote kuwa mwaminifu na straight n strong pia kwa mkurya...ajiwa na pesa mkurya utainjoy sana kama unapenda pesa kitoto kitamthilia kana unapenda atakuwa hivo...ilimradi tu uwe mwaminifu nakweli kwa lolote lile...yani kama we ni malaya mwambie tu ukweli unahitaji ni nn na we ni nani mkurya atakuheshim tu...inshort kurya cant live with pretenders.. n they never pretend...they always show their colors mapema...so inakuwa we kuchukua ama kuacha...
 
Lizzy you are a good woman! i wish we could be of same age... lol!

life ingekuwa poa eenh! nowadays hakuna mapenzi ya kupigana huku kwetu bana! we share romantic words! not sticks!

kuryaz of this century are sooo different! trust me... tafuta mmoja umjaribu.. utazama!!
 
Last edited by a moderator:
Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana.
Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa?
Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.
 
Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana. Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa? Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.
haya Bantu lady nimekubali kua wifi ako huna kaka ako aliebaki huko?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom