Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi.
Naombeni mfute ile dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake, hayo yalikuwa zamani.
Naombeni mfute ile dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake, hayo yalikuwa zamani.