Kuna kupenda kwa PESA, kupenda kwa KIPONDO, kupenda KITOTO, kupenda KITAMTHILIA n.k. . .nyie mnapendaje?
ha!ha!haaa!duh!
yaare maambo ya maama bhoke raara nikurare bhana! mmeacha kumbe.
wakurya deep love tunaijua..! mambo ya kupiga wanawake nowadays hayapo!
endapo mdada atakuwa mtulivu kama mleta uzi alivyosema, hakika utam wa penzi la kikurya utaupata...
mkurya si mtu wa porojo, si mtu wa kubishana hovyo na sweetie wake..
hizi ni criteria muhimu zinazotuweka kwenye kundi maalum la supply of sweet love!! unendless love..
Excel mbona kama danganya toto? Wale wote wanatembezewa kichapo daily hawajatulia?Mmezoea kupiga bana.
PS. . .ile offer haipo tena..naogopa makovu ya ukubwani. .heheheh
Hao kila kitu ubabe tu kama mungiki tu hao...mama Gati rara nikurenge...
Mimi siku dada yangu akiolewa na mkurya nitampa zawadi ya k-47,shoka,panga,manati,mkuki,kisu,kiwembe maana huko anakokwenda ni zaidi ya darfur.
lizzy come on! dont say those words pliz! do you know how much i prepared myself and my complete lovely heart fo it?
aisee utaniua... wakurya wa leo sio kama wale wa '47! trust me, just a single drop of water in my bucket, you will come up with four drums of wine... Lizzy take that...
Achana na hizo hear say siku hizi hamna hayo wakurya kwenye ndoa ni wastarabu sana.
Kuna kupenda kwa PESA, kupenda kwa KIPONDO, kupenda KITOTO, kupenda KITAMTHILIA n.k. . .nyie mnapendaje?
haya Bantu lady nimekubali kua wifi ako huna kaka ako aliebaki huko?Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana. Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa? Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.
ha!ha!haaa cheko lako hilo mkuu Excel.