Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana.
Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa?
Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.
Lizzy you are a good woman! i wish we could be of same age... lol!
life ingekuwa poa eenh! nowadays hakuna mapenzi ya kupigana huku kwetu bana! we share romantic words! not sticks!
kuryaz of this century are sooo different! trust me... tafuta mmoja umjaribu.. utazama!!
haya Bantu lady nimekubali kua wifi ako huna kaka ako aliebaki huko?
Hahahaha Excel. . that again.
Kwani la saba lini?lolz
Maadam na dada yenu Bantu lady kawatetea na kuwasifia juu basi hakika mko vizuri. Ila nikuulize BL, wewe ukiambiwa uolewe na mkurya (kama umeolewa kwingine/bado hujaolewa) utakubali au utakataa?
sis.. habari yako? toka jana sijakuona kabisa!!
umeshindaje?
oh!maama so u min Miss neddy z so lucky?wan'taka j.lee? mi mkurya original atii! i know how to take a woman to the sky of free supestitical love!
oh!maama so u min Miss neddy z so lucky?
Bantu lady, vipi sis, mbona waniuzia mke mie? afu anajifanya ooooh siwezi ku-share!!ah! Excel aku simtaki mi siwez kushare.
bt mi nna swali kidogo kwa Excel Bantu lady n wakurya wote eti nyumba ntobho ndo nini?nilibahatika kufika tarime nikakaa kwa siku moja nkalisikia hili neno.
igweeeethats not questionable under the presence of the king, excel!
Excel mi shemeji ako kwa Window 7 jaman.Bantu lady, vipi sis, mbona waniuzia mke mie? afu anajifanya ooooh siwezi ku-share!! qudadeki ngoja ..
Lizzy nimeshawahi kuwa na mkurya, ila now roho yangu ipo kwa wasukuma. Kama kuna mdada wa kisukuma humu tuongee niwe wifi kwa mkaka wa kisukuma.
Tena Lizzy nikwambie kitu hawa kaka zangu, ukimshika anashikamana atakusikiliza wewe tu nina mifano kibao. Kuanzia kwa my dad and brothers.
Safi sana. Afadhali sasa tupunguze woga. Wasukuma nao wanasifika kweli aisee, ukipata huko utafaidi. Nawajua wawili watatu, nikuunganishie? Au labda kaka yangu Mchagga. . . ? Lolzz
Excel si naona una wasiwasi sana na namba ndio maana. Inanifanya na mie nijiulize ina maana umezeeka kiasi kwamba title ya kuwa nyumba ndogo haitoendana na umri ama. Ile haichagui umri bana. . .
uups!how sijaelewa shem Excel serious.