Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Hahahhaha hapa nimebanwa inabidi tu niwatetee kaka zangu wakurya, jamani wadada wote mkitokewa na wakurya kubalini wanajua kucare sana.
Wa mjini hawapigi ila nyie hampendi kuonyeshwa kama mnapendwa?
Zaidi kaka zangu wakurya ni mahandsome acha kabisa.

sis.. habari yako? toka jana sijakuona kabisa!!

umeshindaje?
 
Lizzy you are a good woman! i wish we could be of same age... lol!

life ingekuwa poa eenh! nowadays hakuna mapenzi ya kupigana huku kwetu bana! we share romantic words! not sticks!

kuryaz of this century are sooo different! trust me... tafuta mmoja umjaribu.. utazama!!

Hahahaha Excel. . that again.
Kwani la saba lini?lolz

Maadam na dada yenu Bantu lady kawatetea na kuwasifia juu basi hakika mko vizuri. Ila nikuulize BL, wewe ukiambiwa uolewe na mkurya (kama umeolewa kwingine/bado hujaolewa) utakubali au utakataa?
 
Last edited by a moderator:
haya Bantu lady nimekubali kua wifi ako huna kaka ako aliebaki huko?

Wapo kibao wewe tu my wii, ongea tu vizuri namimi nikupatie mume wa kikurya.
Excel mmoja wao ila utawezana na miss neddy? kushare
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Excel. . that again.
Kwani la saba lini?lolz
lizzy lizzy Lizzy! come on! mbona kapointi ka la saba umestick sana hapo? kataharibu sasa house ndogo! hakana correlation na hii joint venture yetu atii!

tufanye yaliyotuleta jijini bana!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Excel. . that again.
Kwani la saba lini?lolz

Maadam na dada yenu Bantu lady kawatetea na kuwasifia juu basi hakika mko vizuri. Ila nikuulize BL, wewe ukiambiwa uolewe na mkurya (kama umeolewa kwingine/bado hujaolewa) utakubali au utakataa?

Lizzy nimeshawahi kuwa na mkurya, ila now roho yangu ipo kwa wasukuma. Kama kuna mdada wa kisukuma humu tuongee niwe wifi kwa mkaka wa kisukuma.

Tena Lizzy nikwambie kitu hawa kaka zangu, ukimshika anashikamana atakusikiliza wewe tu nina mifano kibao. Kuanzia kwa my dad and brothers.
 
Last edited by a moderator:
Wapo kibao wewe tu my wii, ongea tu vizuri namimi nikupatie mume wa kikurya. Excel mmoja wao ila utawezana na miss neddy? kushare
ah! Excel aku simtaki mi siwez kushare.
 
Last edited by a moderator:
bt mi nna swali kidogo kwa Excel Bantu lady n wakurya wote eti nyumba ntobho ndo nini?nilibahatika kufika tarime nikakaa kwa siku moja nkalisikia hili neno.
 
Last edited by a moderator:
ntajitahidi nirudi tena Tarime nlifanikiwa kufika ni pazuri pamechangamka n nlipenda hali ya ukijani
 
Lizzy nimeshawahi kuwa na mkurya, ila now roho yangu ipo kwa wasukuma. Kama kuna mdada wa kisukuma humu tuongee niwe wifi kwa mkaka wa kisukuma.

Tena Lizzy nikwambie kitu hawa kaka zangu, ukimshika anashikamana atakusikiliza wewe tu nina mifano kibao. Kuanzia kwa my dad and brothers.

Safi sana. Afadhali sasa tupunguze woga. Wasukuma nao wanasifika kweli aisee, ukipata huko utafaidi. Nawajua wawili watatu, nikuunganishie? Au labda kaka yangu Mchagga. . . ? Lolzz

Excel si naona una wasiwasi sana na namba ndio maana. Inanifanya na mie nijiulize ina maana umezeeka kiasi kwamba title ya kuwa nyumba ndogo haitoendana na umri ama. Ile haichagui umri bana. . .
 
nooo lizzy!! iam vere vere young!! young to carry you 100kms without resting!!!

wasukuma upole wao umezidi sometimes hawawezi hata kusema pale panapokosewa.. hilo sie ndo hatuna kabisa!!

ok, where did we reach with our sweetest offer mamii?
 
Back
Top Bottom