Wanaume wa Kikurya tunajua kupenda

Katika kumi wenye sifa unazoziongea ni 2 au mmoja. Binafsi nimeolewa na Mkurya ni shida tupu. Nimeona wengi walioolewa na wakurya shida walizo nazo. Wakurya wa kijijini wanawapa wake zao mashamba tu, lima watoto wale na yeye ale vizuri, zaidi ya hapo utamsikia kwa mke mwenziyo. Ni wasumbufu kuliko maelezo, muda wote wanajiona wana haki. Kwa ujumla hata watoto wangu siwashauri kuolewa na wakurya.
 
mh!pole dada angu!!
 
Nafasi zipo wazi piemu mkurya yeyote aje nimevutika mzima mzima jaman!mtima wangu uwazi niko tayari kuitwa mama chacha,Marwa,Mwita etc.

Nilikua napita tu hapa ila hii comment yako imenitibua sana. Why unanifanyia hivi we mtoto wakitanga?
 

Exactly! You nailed it.
 
Nilikua napita tu hapa ila hii comment yako imenitibua sana. Why unanifanyia hivi we mtoto wakitanga?
ha!ha!haa dia unamijicho na wewe hupitwi usijali nakuja piemu tuongee vizuri punguza hasira jamani.
 

Mkuu kumbe naww n mura! haha haha was there last yeah mambo ya nyumba ntobo yanahusika.
 
Hawa si ndo wale wanaocharangana mapanga kule tarime kila siku au?
 

mkurya akimuoa mswahili hana tatizo naye---mwanamke atainjoy maisha mpaka basi. tatizo hata wanawake wa kikuria nao ni 'mungiki'--bila kichapo hawawezekani. mara nyingi ndio wana-provoke waume zao (kwa lengo la kuwapima ujasiri) na kuishia kupewa kichapo kikali sana. pia hata mwanamke wa kikuria akiolewa na mwamaume mpole humtesa sana huyo mwanaume. usiombe ukaoa mwanamke wa kikuria ukawa mnyonge kwake--cha moto utakiona!!
 
Last edited by a moderator:

kwa hiyo unasemaje sasa?
 

jaman mkurya haachi asil yake they are very crue me mkurya bt cwez kumshauri rafiki yangu awe na mwanaume wa kikurya.
 
Mkuu kumbe naww n mura! haha haha was there last yeah mambo ya nyumba ntobo yanahusika.

aisee mimi ni muraaaa original kabisa!!!!!

yani hapa nina booooonge la panga kiunoni kudadadeki!!!

sizinguliki!!!
 
wakurya wanajua kupenda lakn ukileta ukorofi kidogo wanakuwa mbogo..akuh ctak mkurya mimi!..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…