Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,851
- 9,472
Kweli kabisa, wakurya mpo juu kwa mahaba halafu sio wabahili. Piga kelele kwa wakurya wetu Weuweeeeeeeee!!Kwa wale wadada waliowahi au wenye wapenzi wakurya watakubaliana na mimi juu ya hili ila tunataka mwanamke awe mwaminifu tu asiwe konakona au mduara utakula mema ya nchi.
Naombeni mfute ile dhana ya kuwa wakurya tunapiga wanawake, hayo yalikuwa zamani.