Wanaume wa kiMassai. . .

@BARRY

Sijawahi kutukana humu ndani............but you are such a barbaric and ethnocentric idiot of this evening.....embodii na tukulana.....minyiiii
 
Lizzy unaona hili kwa kuwa ni kijijini au..........????????

Huku mijini
1. Tunawaoa au kuwafanya vimada.......huko ni ndoa tuuu
2. Tunafungua miradi yetu (wanaume).......huko ndo mashamba na mifugo yetu sie wamasai
3. Mnauza na kununua bidhaa kwa ajili ya miradi......mnatangaza huduma na kushughulikia delivery (wanawake).....huko ni kukamua na kuuza maziwa
4. Mnaweka hela kwenye account zetu (wanaume) na jioni mnaleta bank sleeps bila kuhoji saaanaaa.....huko wanakabidhi mauzo
5. Tunawapa magari mnaendesha hata kadi hamjui zilipo kwa ajili ya kusimamia miradi na mnaenjoy saaaaanaaaaaaa ride........Punda umasaini
6. Mnaenda sokoni/ supermarket na kuleta mahitaji yoooote nyumbani tena mkichekelea eti monthly shopping......huko ni mashineni
7. Na haya mnafanya bila kujali kabila la mwanamke wala mwanaume......huko kwetu imekuwa anthropological finding
 

1.Ningesema kitu kuhusiana na ndoa zao/pengine zenu ila naona nisichokoze zaidi.

2. Hilo halina tatizo, ila tu mjini kila mmoja anajitahidi kujishughulisha na lake, huku hamna hiyo nafasi maana mama hata muda wa kupumua hapati.

3.Kukamua hata shangazi yangu anakamua na sisi sio waMassai, hata mimi nimewahi kwahiyo hilo lenyewe sio tatizo. Ila mtu mmoja anapoachiwa majukumu lukuki inakuwa sio fair.

4.Hahahaha. . .wanakabidhi mazao.wakati wanaohangaika kwenda shambani ni kina mama?

5.Ohhhh puhleeeeez. Mnaowapa mnawajua nyie, sio wote. Na pamoja na hayo kuna tofauti kati ya kumpa mtu kitu cha kumpunguzia adha ya usafiri na kumpa kitu ambacho anatembea nyuma yake kutwa kuhakikisha hakipotei. Wa gari haungui jua wakati yuko nalo, wa punda mpaka nyayo za miguu zinaungua.

6. Mashineni na mtoto mgongoni, jua kali, mahindi kichwani na mfuko mkononi. Unaenda na mizigo, unarudi na mizigo. Hata punda haoni ndani.

7. Hata sio, ila ni tofauti.
 

Ha ha ha ha .....tofauti hiyo ndo inatufanya tuwe na somo la cultural relativism na ethnocentrism on the other side
 
Ha ha ha ha .....tofauti hiyo ndo inatufanya tuwe na somo la cultural relativism na ethnocentrism on the other side
Hahahahh. . . haya bana.

Alafu kumbe wapo ambao bado hawajaoa (au pengine mke kasafiri/anaumwa) wanaojishughulisha na maswala ya jikoni? Maana kuna mmoja kaja kununua mafuta alafu ananiuliza kama yatatosha kukaanga nyama nusu, na kama aichemshe kwanza kidogo.

Hilo limenifurahisha.
 

Hongera...and am sure upo mjini na your hubby ni civilized!!

Kwa hayo maisha yao RussianRoulette......hapana kwakweli, wanawake wao wanashida haswaa.......sema tu ni vile wamejizoelea!!! Ebu nenda kayaishi hayo maisha ya mila zao halafu uje utueleze utamu wake!
 
Last edited by a moderator:

Nadhani hizi ni tamaduni za kiafrika ambazo zinatakiwa kubalika haraka iwezekanavyo maana hata wanawake wanatumia damu kama wanaume!
 
Mila nyingi za kiafrika ziko hivyo.

Tofauti na wamasai nyumba hujengwa na wanaume, ila kilichoniudhi ni vijana wa kimasai ambao ambao hawajaenda jando kufanyia mazoezi ya kujamiiana kwa mbuzi jike.

Pia, mabinti (ndito) huingiziwa sehemu za siri shingo za vibuyu vyenye size tofauti (kutogora-kwa kimasai) ili kuongeza ukubwa akiolewa asipate maumivu. Kwa tafsiri nyingine akina mama hubikiri mabinti zao kinyama namna hiyo.
 
Lizzy bana. Halafu nikuone unalalama zikianza kumiminika threads za wanawake wa kichaga.
Masai inadumisha mila, ile wengine imekwishashindwa. Tamaduni nyenye nguvu iliyobakia Afrika
Kweli Darisalama watoto imeshakwisha. Watoto inajirusharusha mwisho itabakia kuanguka.
Mi masai bana, ni kitu najuvunia fahari yangu
Nakaribisha akina lizzy kunishangaa.

[video=youtube_share;ZLtuxYaKko0]http://youtu.be/ZLtuxYaKko0[/video]
 
Mila nyingine ngumu, unasafiri kwenye basi na mtu ananuka hadi unashindwa kupumua eti mila!, vijana wa kiume kufanyia mazoezi ya kujamiiana kwa mbuzi jike na kumwingizia binti (shingo) ya kibuyu cha kimasai ukeni(kutogora) eti akiolewa asipate shida, mila potofu na mbaya zaidi kutoboa masikio kinyama na kutovaa kufuli, kibaiolojia chupi.
 

EMT mi waMassai nawakubali alafu sijawaponda ila nimependa kujua bana. Tofauti na wale wanaokujaga na madai yasiyo na ukweli, haya wenyewe wanayakubali kwamba ni sehemu ya mila zao.

Heheheheh. . . usisahau kuweka sime vizuri tu wakati unaruka. RIP Mr Ebbo, sijui nani atamsaidia.
 


Lizzy kwani wale wanawake wanaokwenda sokoni mijini huku waume wao wakishindia kwa mama ntilie mchana na jioni kupitia moja moto moja baridi na kurudi nyumbani kwa chakula cha usiku nao wanakosa sifa ya ujanadume?
 
.... jioni mke na watoto wende shamba............................




malizia na ule 'mchezo' wa kikubwa aiseeee! Halafu baadae mtu analaumu................aaaaaaaagrrrrr mwanamke mwenyewe utadhani ni kama gogo au mfu! Kumbe masikini ni uchovu wa siku nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…