Wanaume wa kiMassai. . .

Wanaume wa kiMassai. . .

hili ni kama tusi kwa jamii ya kimasai.u r totaly wrong..na ninawasiwasi kama umeichunguza vyema hii jamii ya kimasai..labda umesikia hadithi tu..kutoka kwa watu..
Acha ujuaji huo ndo ukwl mpk ss wapo hvo
 
Mkuu Dr Lizzy ulichokiandika ni sehemu ndogo ya ukweli.

Katika kabila hilo (I admit, I am), kila mtu ana majukumu yake. Hayo uliyoyataja na kuyashuhudia ni sehemu ya majukumu ya wanawake. Kwa sababu huoni, wanaume pia wana majukumu yao mengi.

Kazi kubwa zaidi ni utafutaji wa fedha za matunzo ya familia. Na bahati mbaya sana, hao unaowaona huenda waume zao wapo mbali wakitafuta riziki.

Wanawaachia hela nyumbani kwa ajili ya matumizi. Wao ndiyo hufahamu nini na nini familia inataka. Mwanaume akienda machungani akirudi, apate muda wa kupumzika.

Mama naye mchana aende kutafuta maji na arudi kupika. Mwanaume yupo mbali akiwajibika.

Viroba ni sehemu ya kujiburudisha. Baada ya majukumu ya siku.
 
Lizzy bana. Halafu nikuone unalalama zikianza kumiminika threads za wanawake wa kichaga.
Masai inadumisha mila, ile wengine imekwishashindwa. Tamaduni nyenye nguvu iliyobakia Afrika
Kweli Darisalama watoto imeshakwisha. Watoto inajirusharusha mwisho itabakia kuanguka.
Mi masai bana, ni kitu najuvunia fahari yangu
Nakaribisha akina lizzy kunishangaa.

[video=youtube_share;ZLtuxYaKko0]

EMT Ume missika sana!!
 
Dr Lizzy ile Pm ni miaka 13 sasa imepita kabla hata hujapata degree ya kwanza kwa mabeberu, lakini intention yangu iko palepale, nadhani sasa ndio wakati muhafaka tutakwenda sehemu kufanya research pamoja, tutaelewana tu kikubwa.😜😜
Wow!!☺️ Kama intention haijabadilika miaka yote hii basi una hoja, unapaswa usikilizwe.🤓🤓

Ila ngoja kwanza nirudi kwa mabebere ndio tuongee!😁😁
 
Back
Top Bottom