kwanini tu
Member
- Nov 8, 2011
- 50
- 63
ah ila kweli asemalo
Here we go again.
More CRAP kwaajili ya kufunga mwaka.
Nyie kwenu wazuri?We mwenyewe mjanja?Au ndio wale wale?Ukute mwenyewe una sura chachu zaidi ya limao alafu unaita wenzako wabaya.
Here we go again.
More CRAP kwaajili ya kufunga mwaka.
Nyie kwenu wazuri?We mwenyewe mjanja?Au ndio wale wale?Ukute mwenyewe una sura chachu zaidi ya limao alafu unaita wenzako wabaya.
Thread nyingine mmh, nachoka kabisa!!!!
hahahahahaa mkwe
anayesema hivyo ngoja akutambulishe mkewe
daaahh sura kama anakamuliwa jipu
Hahahaha. . . hapo sasa mkwe.
mmmh.......??? Mama mchungaji na mkwe wake......
pia wanawake wa kingoni wabaya
Raha wewe!!
Lini we unaozesha?
wape wape eeeh vidonge vyaooo!wakimeza wakitema ni shauri yaoo!*2
Mambo ya samba mapangala. Piga mawe lizzy mpaka akimbie,nyambafu kabisa!
usichoke,hiki kijiwe kimevamiwa na watoto wa secondari, hivyo dawa ni kuwapa za uso mpaka wakimbie hapa mmu,wanafikiri hapa ni fb