wanaume wa kingoni sio waaminifu kabisa tena ni washamba sana

wanaume wa kingoni sio waaminifu kabisa tena ni washamba sana

Here we go again.

More CRAP kwaajili ya kufunga mwaka.
Nyie kwenu wazuri?We mwenyewe mjanja?Au ndio wale wale?Ukute mwenyewe una sura chachu zaidi ya limao alafu unaita wenzako wabaya.
 
haijamtosha hiyo... muongezee dozi huyo lizzy
 
Here we go again.

More CRAP kwaajili ya kufunga mwaka.
Nyie kwenu wazuri?We mwenyewe mjanja?Au ndio wale wale?Ukute mwenyewe una sura chachu zaidi ya limao alafu unaita wenzako wabaya.

hahahahahaa mkwe
anayesema hivyo ngoja akutambulishe mkewe
daaahh sura kama anakamuliwa jipu
 
Here we go again.

More CRAP kwaajili ya kufunga mwaka.
Nyie kwenu wazuri?We mwenyewe mjanja?Au ndio wale wale?Ukute mwenyewe una sura chachu zaidi ya limao alafu unaita wenzako wabaya.

wape wape eeeh vidonge vyaooo!wakimeza wakitema ni shauri yaoo!*2
Mambo ya samba mapangala. Piga mawe lizzy mpaka akimbie,nyambafu kabisa!
 
Mkuu, umeshakaziwa na Mngoni nini? Maana hao jamaa ni sharp kweli kweli. teh teh teh.
 
wape wape eeeh vidonge vyaooo!wakimeza wakitema ni shauri yaoo!*2
Mambo ya samba mapangala. Piga mawe lizzy mpaka akimbie,nyambafu kabisa!

Hauvumi lakini umo!!! Daftari lenu la walala uchi limefikisha wanachama wangapi vile??
 
usichoke,hiki kijiwe kimevamiwa na watoto wa secondari, hivyo dawa ni kuwapa za uso mpaka wakimbie hapa mmu,wanafikiri hapa ni fb

Mawazo finyu, bora ata wa sec! we fb unalinganisha na jf! kama ni vision bac yako inaishia puani! alafu mada za udini, ukabila za nini mbona mna akili ndogo kama za kuku!?
 
Back
Top Bottom