Gatabhanya
JF-Expert Member
- Nov 16, 2024
- 2,644
- 5,178
Wanaume kuvaa
1. SKETI
2. HERENI
3. GAUNI
Huwa mna maana gani?
Uzi tayari.
1. SKETI
2. HERENI
3. GAUNI
Huwa mna maana gani?
Uzi tayari.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yote niliyoandika nimejionea kwa macho yangu sio brainwashed kama ulivyoandika.Swali lako zuri ila nipende kukujibu achana na story ulizowahi sikia ambazo unazo kwenye ufahamu wako alafu ndio ujiulize hili swali tena alafu angalia majibu utayoyapata kama niyana logic ukiwa free minded au uki brainwashed na media & society
Mi nimeuliza tu mkuu ili nipate elimu.Wazungu na waarabu wamekupotosha sana wewe dogo
Unataka tuvae sasa nini mbona na shanga tunavaa fresh tu
Huo ni utamadun wetu
Kwani kuvaa sketi au hereni kwa mwanaume kwa upande wako kuna maana gani au nini mtazamo wakoYote niliyoandika nimejionea kwa macho yangu sio brainwashed kama ulivyoandika.
Kwahyo mwanetu kiunoni umeweka Shanga??Wazungu na waarabu wamekupotosha sana wewe dogo
Unataka tuvae sasa nini mbona na shanga tunavaa fresh tu
Huo ni utamadun wetu
Umesahau vitu muhimu sana; shanga na bangili. Hizo ni mila na tamaduni zao. Hivyo waache wajinafasi kwa raha zao.Wanaume kuvaa
1. SKETI
2. HERENI
3. GAUNI
Huwa mna maana gani?
Uzi tayari.
Mi nimezoea kuona wanawake ndo wanavaa hivyo vitu kwa mwanaume huwa nashangaa sana.Kwani kuvaa sketi au hereni kwa mwanaume kwa upande wako kuna maana gani au nini mtazamo wako
Sijawakatalia nilikuwa tu nataka kuchota maarifa elimu haina mwisho.Umesahau vitu muhimu sana; shanga na bangili. Hizo ni mila na tamaduni zao. Hivyo waache wajinafasi kwa raha zao.
Mkuu kuvaa Shanga sio wasukuma tu , Tanga makabila ya huko wanaume huvaa Shanga sana ila wanamaana yao mwanamke akikutana na mwanaume alie vaa sanga , akisimulia mwenzake lazima mwenzake atamchenga mpaka akauone ushanga wa yule mwanaume, so ni kama ndoanoWanavaa na shanga
DuuhMkuu kuvaa Shanga sio wasukuma tu , Tanga makabila ya huko wanaume huvaa Shanga sana ila wanamaana yao mwanamke akikutana na mwanaume alie vaa sanga , akisimulia mwenzake lazima mwenzake atamchenga mpaka akauone ushanga wa yule mwanaume, so ni kama ndoano
Inaelekewa wewe historia yako ya watu wa zamani na makabila mbalimbali huyajui. Au pengine umezaliwa miaka ya 2000Mi nimezoea kuona wanawake ndo wanavaa hivyo vitu kwa mwanaume huwa nashangaa sana.
Huwa mnamaanisha nini kuvaa vile ungenijibu ingekua vizuri zaidi sio kuhoji nilizaliwa lini.Inaelekewa wewe historia yako ya watu wa zamani na makabila mbalimbali huyajui. Au pengine umezaliwa miaka ya 2000
Sasa kama unaongelea huko nyuma na sisi hatuvai hivyo sikuhizi tukujibuje mkuu? Unataka tuchukue uhusika wa watu nyuma yetu huku sisi hatuishi hivyo tena ama umeamka ukataka kutukana wasukuma kwavile sikuhizi mlitupumzisha kidogo. Ulipaswa kuuliza lbda kwnn wasukuma wa zamani walivaa hivyo! Make sikuhizi hata mimi sijakuta wazazi wangu wakivaa hivyo. Unaweza kukuata wewe ni kabila la hovyo zaidi hapa