Wanaume wa Kisukuma kuvaa sketi, hereni na gauni huwa mna maana gani?

Swali lako zuri ila nipende kukujibu achana na story ulizowahi sikia ambazo unazo kwenye ufahamu wako alafu ndio ujiulize hili swali tena alafu angalia majibu utayoyapata kama niyana logic ukiwa free minded au uki brainwashed na media & society
Yote niliyoandika nimejionea kwa macho yangu sio brainwashed kama ulivyoandika.
 
Huo ni utamaduni wao ,ukifika huko wao wanakuona mshamba..Kuna nchi ya ulaya wanavaa kabisa hizo sketi tena ni kama sikukuu kabisa ,wengine wabeba vyuma kabisa.
 
Wanaume kuvaa
1. SKETI
2. HERENI
3. GAUNI

Huwa mna maana gani?

Uzi tayari.
Umesahau vitu muhimu sana; shanga na bangili. Hizo ni mila na tamaduni zao. Hivyo waache wajinafasi kwa raha zao.
 
Wanavaa na shanga
Mkuu kuvaa Shanga sio wasukuma tu , Tanga makabila ya huko wanaume huvaa Shanga sana ila wanamaana yao mwanamke akikutana na mwanaume alie vaa sanga , akisimulia mwenzake lazima mwenzake atamchenga mpaka akauone ushanga wa yule mwanaume, so ni kama ndoano
 
Duuh
 
Inaelekewa wewe historia yako ya watu wa zamani na makabila mbalimbali huyajui. Au pengine umezaliwa miaka ya 2000
Huwa mnamaanisha nini kuvaa vile ungenijibu ingekua vizuri zaidi sio kuhoji nilizaliwa lini.
 
Sasa kama unaongelea huko nyuma na sisi hatuvai hivyo sikuhizi tukujibuje mkuu? Unataka tuchukue uhusika wa watu nyuma yetu huku sisi hatuishi hivyo tena ama umeamka ukataka kutukana wasukuma kwavile sikuhizi mlitupumzisha kidogo. Ulipaswa kuuliza lbda kwnn wasukuma wa zamani walivaa hivyo! Make sikuhizi hata mimi sijakuta wazazi wangu wakivaa hivyo. Unaweza kukuata wewe ni kabila la hovyo zaidi hapa 🇹🇿 ila umekomaa na wasukuma tu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…