Wanaume wa kiswahili ni shida

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!!

Leo nilikuwa kwenye restaurant mojo nikiwa nimetulia .

Mara majamaa wawili wakaingia wakiwa na mke na watoto wawili..nahisi nimke wa mmoja wapo.

Mara wakaagiza msosi na juice,baada yakunywa juice kidogo mara jamaa akashauti hii juice sio nzuri..hata sisi tunatengeneza sio nzuri.

Nikawa najiuliza hivi anayepaswa kulalamika ni mwanamke au mwanaume.

Au ni sawa mwanaume kuanza kulalamika maeneo ya hotel kuliko mwanamke.

Ila ingekuwa mimi ningetulia alafu kama imenishinda naonja kidogo sana alafu tunaacha..hapo wao wenyewe wangepata jibu in action.
 
Kwa hiyo wazungu ndo hawaulizi quality ya chochote wanacho nunua?
 
Kila mtu ana ulimi wake sasa kwanini unamtaka mwanamke ndio alalamike, labda yeye kaipenda juisi.
 
Unacho kosea ni wewe kutaka Kila mtu awe kama wewe
 
hao jamaa ni mashago pamoja tena boravwao walilalamika kwa waiter mmoja kuliko aliyekuja kuwatangaza kwenye jukwaa la watu millioni
Acha utabu darasa wewe kwani kuna mtu hapa ametajwa jina.
 
Yaani kwamba kama kitu sio kizuri uonje kidogo then uache ndio umetatua tatizo. Je akichukulia umeshiba? Kumbuka hapo atalipa pesa haijalisha alionja tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…