Ni kweli tatizo lipo tena saana kwa wanaume na mara kadhaa hudiriki kunywa madawa kabla ya kufanya jambo hilo walau kwa dakika/masaa kadhaa. Mimi ni HE ila nawashuhudia sana vijana wenzangu kwa jinsi wanavyoulizia supu mbalimbali ziwawezeshe kumudu tendo hilo halaal kwa waliohalalishwa tu. Kimsingi vyakula ndivyo tatizo kubwa, kwetu sie tuliokulia keki-BOGA, juice-TOGWA, ice cream-MUWA, soup-KISAMVU/MSUSA CHUPUCHUPU ndio walau tuna nguvu ya hata kumudu kwa dk.10 pasipo kutumia virutubisho vyovyote kabla ya tendo halaal. Na ndoa nyingi huyumbishwa kwa jambo hilo tu, utulivu hukosekana kwani SHE wengi hawafikidhiwi haja zao (kwa waliohalalishwa tu).Inashangaza sana kila baada ya cku 2 au 3 inatoka thread ya wanaume wanalalamika kuhusu kupungukiwa na nguvu za kiume. Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka inaonekana more than 70% of men are now suffering from this kind of desease. Sasa nataka kujua shida ni nini? na utatuzi wake ni upi manake huku tunakoelekea wanaume wote watakuwa wameathirika na huu ugonjwa. Ni kweli kwamba ndoa nyingi sasa hv zinavunjika kwa kuchangiwa na hili tatizo la wanaume kukosa uwezo wa kuwatimizia.
Ni openness tu. Watu siku hizi wako very open tofauti na wazee wetu.Inashangaza sana kila baada ya cku 2 au 3 inatoka thread ya wanaume wanalalamika kuhusu kupungukiwa na nguvu za kiume. Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka inaonekana more than 70% of men are now suffering from this kind of desease. Sasa nataka kujua shida ni nini? na utatuzi wake ni upi manake huku tunakoelekea wanaume wote watakuwa wameathirika na huu ugonjwa. Ni kweli kwamba ndoa nyingi sasa hv zinavunjika kwa kuchangiwa na hili tatizo la wanaume kukosa uwezo wa kuwatimizia.
MBONA NYIE WANAWAKE MBONA MNA' MATATIZO YENU KAMA KANSA YA MATITI, FISTULA N.k..LABDA MNAONA AIBU KUYAWEKA HUMU JF.
Kila kitu hakikukaa sawa tu, walipoanza kuvaa hereni, kusuka nywele, na mengineyo ya ajabu tu wakaanza kufanana na SHE. Mungu hadhihakiwi. Tuombe rehema tu hapa.
Tatizo ni hizi net+chanjo za misaada.nukta
Kila kitu hakikukaa sawa tu, walipoanza kuvaa hereni, kusuka nywele, na mengineyo ya ajabu tu wakaanza kufanana na SHE. Mungu hadhihakiwi. Tuombe rehema tu hapa.
yote mmeongea je suluhisho ni nn? nafikiri tuongelee hilo zaidi mana imekuwa ni janga la kitaifa