God bell
JF-Expert Member
- May 13, 2011
- 590
- 210
Inashangaza sana kila baada ya cku 2 au 3 inatoka thread ya wanaume wanalalamika kuhusu kupungukiwa na nguvu za kiume. Kwa mtazamo wangu wa haraka haraka inaonekana more than 70% of men are now suffering from this kind of desease. Sasa nataka kujua shida ni nini? na utatuzi wake ni upi manake huku tunakoelekea wanaume wote watakuwa wameathirika na huu ugonjwa. Ni kweli kwamba ndoa nyingi sasa hv zinavunjika kwa kuchangiwa na hili tatizo la wanaume kukosa uwezo wa kuwatimizia.