Wanaume wa Leo tumekuwa mabomu

Wanaume wa Leo tumekuwa mabomu

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Muda wowote tunalipuka.

Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi wanawake vile na mengine mengi lakini wanawake wenyewe hawalalamiki.

Mzani umehama wanaume kwa sasa ni dhaifu mno kwenye afya ya akili, vitu vidogo tu tunatoka relini.

Ni nini hiki?
 
Back
Top Bottom