Umemfokea saaana😀😀Naona unatafuta sababu ya kuhamia kwa hao unaodai hawalalamiki
Unatumia kinywaji gani mzee baba?Muda wowote tunalipuka. Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi
Biblia imesema ishini nao kwa akiliMuda wowote tunalipuka. Ushahidi upo humuhumu, nyuzi nyingi ni kulalamika tu wanawake hivi wanawake vile na mengine mengi lakini wanawake wenyewe hawalalamiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona unatafuta sababu ya kuhamia kwa hao unaodai hawalalamiki