Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Nyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie.
Unyanyasaji dhidi ya wake zenu ni nyie, kukatakata mapanga wenzenu eti kisa umesikia fulani anatembea na mkeo ni nyie, uvivu ni nyie, kutekekeza familia ni nyie, kutwa kushinda kwenye vilabu vya pombe ni nyie.
Mna lakujifunza kwa sisi wanaume kweli kweli wa Dar, hatuna matukio ya ajabu ajabu kama nyie. Kuanzia leo nisisikie mwanaume yeyote mkoani akileta dharau dhidi yetu.