Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Huku kwetu boxer ni pikipikiItakuwa hiyo familia haikupata mwanya wa kupiga kelele kuomba msaada.
Nyie wa dar si ndo nyie mnaulizia pa kununua boxer? 😎
Ngoja panya road waamke
Nyie hamvaagi boxer, kengele zinagongana na kulia kila saa...Huku kwetu boxer ni pikipiki
🤣🤣 kengele inatakiwa iwe free muda wote.Nyie hamvaagi boxer, kengele zinagongana na kulia kila saa...
Wanaume wa Dar kusema kweli hapana.... Mwanaume umeweka dread, umevaa kikaptula kifupi kama boxer, mwanaume uwez kumnyanyulia mwanamke wako mkono ukicheza ye ndo anakubonda, alafu ety manaume ya Dar na yenyewe yakifumania yanalia hadi kwikwiNyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie.
Unyanyasaji dhidi ya wake zenu ni nyie, kukatakata mapanga wenzenu eti kisa umesikia fulani anatembea na mkeo ni nyie, uvivu ni nyie, kutekekeza familia ni nyie, kutwa kushinda kwenye vilabu vya pombe ni nyie.
Mna lakujifunza kwa sisi wanaume kweli kweli wa Dar, hatuna matukio ya ajabu ajabu kama nyie. Kuanzia leo nisisikie mwanaume yeyote mkoani akileta dharau dhidi yetu.
At least wanejua kuwatumia wanawake...alafu kibaya zaidi wanalishwa na wanawake! Mikoani wazalishaji chakula mashambani ni wakina mama[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]At least wanejua kuwatumia wanawake
KWenye kulelewa hapo ni kweli wengi wanajitia sura za kazi lakini wengi wao Warhol tuNyie si ndio huwa mnajisifu ni majebedali sasa kiko wapi? Mbona mna mioyo ndembedembe sana? Ulevi wa kupindukia ni nyie.