Wanaume wa Mikoani mnatia aibu sana!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Mkija mjini manzie Coco Beach muoge maji chumvi,Maana mkija mjini mnanuka sana tukipanda nanyie katika daladala tunatamani kushuka!
Kingine mna wivu sana mkiona mtu katiia V8 au Discover 4 ,Prado utawasikia mnalinga kwa gari za mkopo!yani nakopa V8au SUV Yoyote unatokwa povu kisa??wakati wewe unaishi Gongolamboto nahuko wenye V8 ni wakuhesabu jifunzeni ustaarabu,
, pia jifunzeni kuwa smart katika sehemu za starehe mnalewa mnadondoka na wakati hamna usafiri manategemea daladala mtakuja kufanyiwa kitu mbaya na wanaume wa Dar.
 
Dah!mnasikitisha sana wanaume wa dar mnaongoza kupanda daladala,wazembe kitandani(washamba)hamjui kukata kiu za wapenzi wenu,mnaongoza kwa vizinga,wanaume wa dar wala chips,wanaume wa dar wambea,wanaume wa dar watoboa pua,wanaume wa wanywaji wa castle light, wanaume wa dar hamna pesa matijiri wengi wanatoka mkoani,wanaume wa dar mnavaa nguo za kubana,wanaume wa dar mnajichubua sasa unataka mjifananishe na wanaume wa mkoani.nyie ndo mnatia aibu na ulimbukeni
 

Ulilala na wanaume wangap wa dar hawakukupiga dudu vzr?!
 
Wanaume wa dar huwa mnashinda ligi wanaume wa dar wenzenu mods wakiingilia kati
 
Kwani binti unachokasirika ni kisa umemegwa haujakatwa kiu?

Basi tusamehe sisi.
 
Stress za kuishi kwa Shemeji ndo unawamalizia wamkoa? Wewe endelea kulala kwenye kochi wa kwanza kuamka wa Mwisho kulala, waache wamkoa wale bata waleweee, pesa ni zako wamezua ng'ombe na korosho... Wewe umeuza nini cha kujivunia? Kahawa na kashata unazotembeza mtaji sio wako..
 
Isitoshe kuna mwanaume wa dar tayar demu wake ninae ananipendaje anasema hajaona kama mm [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kabla sijafika dar nilijua watu wote wanamaisha mazuri kumbe mlo mmoja kwa siku,chumba kimoja na familia
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…