Wanaume wa Mikoani mnatia aibu sana!

Wanaume wa Mikoani mnatia aibu sana!

Mkija mjini manzie Coco Beach muoge maji chumvi,Maana mkija mjini mnanuka sana tukipanda nanyie katika daladala tunatamani kushuka!
Kingine mna wivu sana mkiona mtu katiia V8 au Discover 4 ,Prado utawasikia mnalinga kwa gari za mkopo!yani nakopa V8au SUV Yoyote unatokwa povu kisa??wakati wewe unaishi Gongolamboto nahuko wenye V8 ni wakuhesabu jifunzeni ustaarabu,
, pia jifunzeni kuwa smart katika sehemu za starehe mnalewa mnadondoka na wakati hamna usafiri manategemea daladala mtakuja kufanyiwa kitu mbaya na wanaume wa Dar.
Kwahiyo hizo V8 na Discovery 4 kadhaa zilizopo Dar ni mali ya wanaume wote wa Dar?na mikoani hayapo?anyway tumewasikia!
Leo nipo njiani natoka mkoani kwetu Arusha naenda Dar,na kwakweli nasafiri kwa basi la Abiria.
Nimekaa na mwanaume mwenzangu ila yeye kashasema ni mkazi wa Buguruni,anatokea arusha alipokuwa amepeleka gari kwa boss wake (boss wake ni mwanaume wa Arusha). Sasa sijui ndo usasa au ndo mambo ya wanaume wa Dar,tumesimama kupata chakula jamaa kanunua chocolate za kutosha na ice cream na kipande cha kuku aliyekaushwa. Ananiambia hapendi kula yeye mara nyingi huu ndio msosi wake
 
Back
Top Bottom