Nejad Rocket
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 298
- 197
Mnakopa mpaka nyama magari mpaka pussy mnakopa wanaume wa dar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hizo V8 na Discovery 4 kadhaa zilizopo Dar ni mali ya wanaume wote wa Dar?na mikoani hayapo?anyway tumewasikia!Mkija mjini manzie Coco Beach muoge maji chumvi,Maana mkija mjini mnanuka sana tukipanda nanyie katika daladala tunatamani kushuka!
Kingine mna wivu sana mkiona mtu katiia V8 au Discover 4 ,Prado utawasikia mnalinga kwa gari za mkopo!yani nakopa V8au SUV Yoyote unatokwa povu kisa??wakati wewe unaishi Gongolamboto nahuko wenye V8 ni wakuhesabu jifunzeni ustaarabu,
, pia jifunzeni kuwa smart katika sehemu za starehe mnalewa mnadondoka na wakati hamna usafiri manategemea daladala mtakuja kufanyiwa kitu mbaya na wanaume wa Dar.