Wanaume wa Mikoani mnatia aibu sana!

Ila kweli ni walevi ila baadhii.
Mwanaume ni mwanaume tu awe wa dar wa mikoani aoge asioge ni mwanaume tu .
Sisi wadada ndio ukimpenda mtu utambadilisha wangapi wameoa wamebadilika?
Ukiringa muda unaenda utakuta hata yule mlevi kapata mwenzaa wewe ndio umeachwa ukimsubiri Mr perfect hayupogi na malaika duniani hawapo ni mbinguni wapogiii .
 
Hiv james delicious na kaoge si wanaume wa dar pia
 
Wanaume wa dar hata kuandika hujui utadhan unakimbizwa
 
Wanaume wa Dar hata kuandika hamjuii
 
Lingine wanaume wetu niwapo juu kwenye kila kitu wanamudu vizuri secta zao ila dar hawana hizo sifa nimeshakuaga na mwanaume wenu kachoka tokea mdomo mpaka sekta muhimu anahangaika kufika hata kagoli kamoja halafu analala kama kafunga mia .
Yaani mnachosha nakukera mtu akija unatamaninasikuite maana tofauti na mengine hana lolote anakuchafua sisi wanaume wetu wananuka shombo couze wanaafya hebu mpe maji mtulize akupe vichapo mpaka unamuhonga manukato.
Sisi tunajiamini kuwa tupo juu kila sekta uchapaji kazi na pia usiku .
Wanaume wadar wao muda mwingi hujipodoa na eti kujiweka safi na huku wa mikoani wanasaka pesa hadi wanasahau kunukia couze hela ndio kwanza raha later.
 
Reactions: Lee
Nyie ndo kila siku mnaanzisha threads za kupigwa mara mgambo , magereza sijasahau wale wa ukonga ..wababe wenu wale vijana wa mikoani wasio na makazi maalum nyie mnawaita panya road
 
Sasa anaenunua vx si ndo mikoani ili kupambana na changarawe nyie dar mnatumia vi bebi woka
 
Wengine wanalelewa full Maisha ya kuigiza....wanaume wa dar ndio ninyi Maisha yenu mmeyatengeneza fb na Instagram yan mnajidanganya wenyewe muonekane matawi kumbe vyakuazima....Hii nikwa wale wakuja mana mwenyej wa dar keshahamishwa jijini.Wengine wote wakuja
 
Jinsia yako maana uandishi utakuwa unatoka mpakani na mombasa
 
[emoji33][emoji44][emoji44][emoji44] hovyooo
 
Umeongea kwa huruma dah pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…