Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Niaje wakulugwa.....!!
Baada ya changamoto za maisha nikaamua kukimbilia mkoani kujipanga upya sasa maajabu niliyokutana NAyo yaan watoto woooote wazuri washazalishwa teNA mapema saana.
Mfano juzi kati nikakutana na mtoto mzuri kweli kweli yupo kwao mi natoka ibadani akanipa ishara kwamba kanielewa nkasema ngoja nikaushe upako upungue nitaenda mchek Siku inayofuata.
Siku nimeenda nampanga mtoto kakubali Ila kaniambia ana ishi na mwanaume na wanamtoto wa miezi mitatu aliyejifungua kwa oparesheni hivyo niwe makini...agrhhhh dash nilichoka nkasema hawa watoto wadogo wanawaiwa mapema saana wangekua wanaachwa kidogo ili nasi wageni tufaidi sio wanachukua mazima....
Nikiripoti kutoka Northern part of Tz